2 Nya. 16:7 SUV

7 Wakati ule Hanani mwonaji akamwendea Asa mfalme wa Yuda, akamwambia, Kwa kuwa umemtegemea mfalme wa Shamu, wala hukumtegemea BWANA, Mungu wako, kwa hiyo limeokoka jeshi la mfalme wa Shamu mkononi mwako.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 16

Mtazamo 2 Nya. 16:7 katika mazingira