2 Nya. 16:9 SUV

9 Kwa maana macho ya BWANA hukimbia-kimbia duniani mwote, ili ajionyeshe mwenye nguvu kwa ajili ya hao, waliokamilika moyo kuelekea kwake. Kwa hayo umetenda upumbavu; kwani tangu sasa utakuwa na vita.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 16

Mtazamo 2 Nya. 16:9 katika mazingira