2 Nya. 18:18 SUV

18 Mikaya akasema, Sikieni basi neno la BWANA; Nalimwona BWANA ameketi katika kiti chake cha enzi na jeshi lote la mbinguni wamesimama mkono wake wa kuume na wa kushoto.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:18 katika mazingira