19 BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu mfalme wa Israeli, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 18
Mtazamo 2 Nya. 18:19 katika mazingira