2 Nya. 18:2 SUV

2 Hata baada ya miaka kadha wa kadha akamshukia Ahabu huko Samaria. Ahabu akamchinjia kondoo na ng’ombe tele, yeye na watu waliokuwa pamoja naye, akamshawishi ili apande pamoja naye waende Ramoth-gileadi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:2 katika mazingira