2 Nya. 18:29 SUV

29 Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, Nitajibadilisha, na kuingia vitani; lakini wewe uvae mavazi yako. Mfalme wa Israeli akajibadilisha; nao wakaingia vitani.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:29 katika mazingira