2 Nya. 18:30 SUV

30 Basi mfalme wa Shamu alikuwa amewaamuru maakida wa magari yake, akisema, Msipigane na mdogo wala mkuu, ila na mfalme wa Israeli peke yake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:30 katika mazingira