2 Nya. 18:33 SUV

33 Na mtu mmoja akavuta upinde kwa kubahatisha, akampiga mfalme wa Israeli mahali pa kuungana mavazi yake ya chuma; kwa hiyo akamwambia mwendesha gari, Geuza mkono wako, unichukue kutoka katika majeshi; kwa kuwa nimejeruhiwa sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 18

Mtazamo 2 Nya. 18:33 katika mazingira