34 Pigano likazidi siku ile; lakini mfalme wa Israeli akajitegemeza garini juu ya Washami hata jioni; akafa kama wakati wa kuchwa kwa jua.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 18
Mtazamo 2 Nya. 18:34 katika mazingira