2 Nya. 19:10 SUV

10 Na kila mara watakapowajia na teto ndugu zenu wakaao mijini mwao, kati ya damu na damu, kati ya torati na amri, sheria na hukumu, mtawaonya, wasiingie hatiani mbele za BWANA, mkajiliwa na ghadhabu ninyi na ndugu zenu; fanyeni haya wala hamtakuwa na hatia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 19

Mtazamo 2 Nya. 19:10 katika mazingira