2 Nya. 2:2 SUV

2 Sulemani akahesabu watu sabini elfu wawe wachukuzi wa mizigo, na watu themanini elfu wawe wachongaji milimani, na elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi wao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 2

Mtazamo 2 Nya. 2:2 katika mazingira