2 Nya. 2:3 SUV

3 Sulemani akatuma watu kwa Hiramu mfalme wa Tiro, akisema, Kama ulivyomtendea baba yangu Daudi, na kumletea mierezi, ajijengee nyumba ya kukaa, unitendee na mimi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 2

Mtazamo 2 Nya. 2:3 katika mazingira