2 Nya. 20:14 SUV

14 Ndipo Yahazieli mwana wa Zekaria, mwana wa Benaya, mwana wa Yeieli, mwana wa Matania, Mlawi, wa wana wa Asafu, akajiliwa na roho ya BWANA, katikati ya kusanyiko;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:14 katika mazingira