2 Nya. 20:15 SUV

15 akasema, Sikieni, Yuda wote, nanyi mkaao Yerusalemu, na wewe mfalme Yehoshafati; BWANA awaambia hivi, Msiogope, wala msifadhaike kwa ajili ya jeshi kubwa hili; kwani vita si yenu bali ni ya Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:15 katika mazingira