2 Nya. 20:17 SUV

17 Hamtahitaji kupigana vita, jipangeni, simameni, mkauone wokovu wa BWANA ulio pamoja nanyi, enyi Yuda na Yerusalemu; msiogope, wala msifadhaike; kesho tokeni juu yao; kwa kuwa BWANA yu pamoja nanyi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:17 katika mazingira