2 Nya. 20:18 SUV

18 Yehoshafati akainama kichwa, kifulifuli; wakaanguka mbele za BWANA Yuda wote na wakaao Yerusalemu, wakimsujudia BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:18 katika mazingira