2 Nya. 20:21 SUV

21 Naye alipokwisha kufanya shauri na watu, akawaweka wale watakaomwimbia BWANA, na kumsifu katika uzuri wa utakatifu, wakitoka mbele ya jeshi, na kusema, Mshukuruni BWANA; kwa maana fadhili zake ni za milele.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:21 katika mazingira