2 Nya. 20:22 SUV

22 Nao walipoanza kuimba na kusifu, BWANA akaweka waviziao juu ya wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, waliokuja juu ya Yuda; nao wakapigwa.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:22 katika mazingira