2 Nya. 20:23 SUV

23 Kwani wana wa Amoni na wa Moabu waliwaondokea wenyeji wa mlima Seiri kuwaulia mbali na kuwaharibu; nao walipokwisha kuwakomesha hao wakaao Seiri, wakajitia kuharibu kila mtu mwenziwe.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:23 katika mazingira