2 Nya. 21:2 SUV

2 Naye alikuwa na ndugu, wana wa Yehoshafati, Azaria, na Yehieli, na Zekaria, na Azaria, na Mikaeli, na Shefatia; hao wote walikuwa wana wa Yehoshafati mfalme wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 21

Mtazamo 2 Nya. 21:2 katika mazingira