2 Nya. 21:3 SUV

3 Baba yao akawapa zawadi kubwa, za fedha, na za dhahabu, na za tunu, pamoja na miji yenye maboma katika Yuda; lakini ufalme akampa Yehoramu, kwa sababu alikuwa mzaliwa wa kwanza.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 21

Mtazamo 2 Nya. 21:3 katika mazingira