2 Nya. 21:4 SUV

4 Basi Yehoramu alipoinuliwa juu ya ufalme wa babaye, na kujitia nguvu, akawaua nduguze wote kwa upanga, na baadhi ya wakuu wa Israeli pia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 21

Mtazamo 2 Nya. 21:4 katika mazingira