2 Nya. 22:5 SUV

5 Naye akaenda kwa mashauri yao, akafuatana na Yoramu mwana wa Ahabu mfalme wa Israeli ili kupigana na Hazaeli mfalme wa Shamu huko Ramoth-gileadi; nao Washami wakamjeruhi Yoramu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 22

Mtazamo 2 Nya. 22:5 katika mazingira