2 Nya. 22:6 SUV

6 Akarudi Yezreeli ili aponye jeraha walizomjeruhi huko Rama, alipopigana na Hazaeli mfalme wa Shamu. Naye Ahazia mwana wa Yehoramu mfalme wa Yuda, akashuka amtazame Yoramu mwana wa Ahabu, katika Yezreeli, kwa sababu alikuwa hawezi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 22

Mtazamo 2 Nya. 22:6 katika mazingira