2 Nya. 22:7 SUV

7 Basi kuangamia kwake Ahazia kulitokana na Mungu, kwa vile alivyomwendea Yoramu; kwa kuwa alipofika, akatoka pamoja na Yoramu juu ya Yehu mwana wa Nimshi, ambaye BWANA alimtia mafuta ili awakatilie mbali nyumba ya Ahabu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 22

Mtazamo 2 Nya. 22:7 katika mazingira