2 Nya. 23:6 SUV

6 Wala asiingie mtu nyumbani mwa BWANA, ila makuhani, na hao watumikao wa Walawi; hao wataingia, kwa kuwa hao ni watakatifu; ila watu wote watalinda malinzi ya BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:6 katika mazingira