2 Nya. 23:7 SUV

7 Nao Walawi watamzunguka mfalme pande zote, kila mtu mwenye silaha zake mkononi; naye awaye yote aingiaye nyumbani na auawe; nanyi mfuatane na mfalme, aingiapo na atokapo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:7 katika mazingira