2 Nya. 23:8 SUV

8 Basi Walawi na Yuda wote wakafanya sawasawa na yote aliyowaamuru Yehoyada kuhani; wakawatwaa kila mtu watu wake, hao watakaoingia siku ya sabato, na wale watakaotoka siku ya sabato; kwa maana Yehoyada kuhani hakuzifumua zamu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:8 katika mazingira