2 Nya. 23:9 SUV

9 Naye Yehoyada kuhani akawapa maakida wa mamia mikuki, na ngao, na vigao, vilivyokuwa vya mfalme Daudi, vilivyokuwamo nyumbani mwa Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:9 katika mazingira