2 Nya. 24:1 SUV

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala; akatawala miaka arobaini huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Sibia wa Beer-sheba.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:1 katika mazingira