2 Nya. 24:18 SUV

18 Wakaiacha nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zao; wakatumikia maashera na sanamu; ghadhabu ikawajia Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hiyo hatia yao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:18 katika mazingira