2 Nya. 24:19 SUV

19 Hata hivyo akawapelekea manabii, ili kuwarudisha kwa BWANA; nao wakawashuhudia; lakini hawakukubali kuwasikiliza.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:19 katika mazingira