2 Nya. 24:22 SUV

22 Basi hivyo mfalme Yoashi hakuukumbuka wema, ambao Yehoyada, baba yake, alimfanyia, bali alimwua mwanawe. Naye alipokufa, alisema, BWANA na ayaangalie haya, akayatakie kisasi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:22 katika mazingira