2 Nya. 24:23 SUV

23 Ikawa mwisho wa mwaka, wakakwea juu yake jeshi la Washami; wakafika Yuda na Yerusalemu, wakawaangamiza wakuu wa watu wote miongoni mwa watu, wakamletea mfalme wa Dameski nyara zao zote.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:23 katika mazingira