2 Nya. 24:24 SUV

24 Maana wakaja jeshi la Washami watu haba; BWANA akatia mikononi mwao jeshi kubwa mno, kwa sababu wamemwacha BWANA, Mungu wa baba zao. Hivyo wakamfanyia Yoashi hukumu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:24 katika mazingira