2 Nya. 25:15 SUV

15 Kwa hiyo hasira ya BWANA ikawaka juu ya Amazia, akampelekea nabii, aliyemwambia, Mbona umeitafuta miungu ya watu, isiyowaokoa watu wao mkononi mwako?

Kusoma sura kamili 2 Nya. 25

Mtazamo 2 Nya. 25:15 katika mazingira