2 Nya. 25:14 SUV

14 Basi ikawa, Amazia alipokwisha rudi kutoka kuwaua Waedomi, alileta miungu ya wana wa Seiri, akaisimamisha kuwa miungu yake, akajiinama mbele yao, akaifukizia uvumba.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 25

Mtazamo 2 Nya. 25:14 katika mazingira