2 Nya. 26:10 SUV

10 Akajenga minara tena nyikani, akachimba mabirika mengi, maana alikuwa na ng’ombe tele; katika Shefela pia, na katika nchi tambarare; tena alikuwa na wakulima na watunza mizabibu milimani, na katika mashamba ya neema; maana yeye alipenda ukulima.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:10 katika mazingira