2 Nya. 26:11 SUV

11 Zaidi ya hayo Uzia alikuwa na jeshi la watu wa kupigana, waliokwenda vitani vikosi vikosi, sawasawa na hesabu walivyohesabiwa na Yeieli mwandishi, na Maaseya msimamizi, chini ya mkono wa Hanania, mmojawapo wa maakida wa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:11 katika mazingira