2 Nya. 26:18 SUV

18 wakamzuia Uzia mfalme, wakamwambia, Si haki yako, Uzia, kumfukizia BWANA uvumba, ila ni haki ya makuhani wana wa Haruni, waliofanywa wakfu, ili wafukize uvumba; toka katika patakatifu; kwa kuwa umekosa; wala haitakuwa kwa heshima yako kutoka kwa BWANA, Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:18 katika mazingira