2 Nya. 26:19 SUV

19 Akaghadhibika Uzia; naye alikuwa na chetezo mkononi cha kufukizia uvumba; naye hapo alipowaghadhibikia makuhani, ukamtokea ukoma katika paji la uso wake mbele ya makuhani nyumbani mwa BWANA karibu na madhabahu ya kufukizia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:19 katika mazingira