2 Nya. 26:20 SUV

20 Azaria kuhani mkuu na makuhani wote wakamtazama, na angalia, alikuwa na ukoma pajini mwa uso, wakamtoa humo upesi; hata na yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa sababu BWANA amempiga.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:20 katika mazingira