2 Nya. 26:23 SUV

23 Basi Uzia akalala na babaze; wakamzika pamoja na babaze katika konde la kuzikia la wafalme; kwa kuwa walisema, Huyu ni mwenye ukoma. Na Yothamu mwanawe akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:23 katika mazingira