2 Nya. 27:1 SUV

1 Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 27

Mtazamo 2 Nya. 27:1 katika mazingira