2 Nya. 28:12 SUV

12 Ndipo wakaondoka juu ya hao waliotoka vitani baadhi ya wakuu wa wana wa Efraimu, Azaria, mwana wa Yohanani, na Berekia mwana wa Meshilemothi, na Yehizkia mwana wa Shalumu, na Amasa mwana wa Hadlai,

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:12 katika mazingira