2 Nya. 28:13 SUV

13 wakawaambia, Hamtawaleta wafungwa humo; kwa sababu mnayanuia yatakayotutia hatiani mbele za BWANA, kuongeza dhambi zetu, na hatia yetu; maana hatia yetu ni kubwa, na ghadhabu kali ipo juu ya Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:13 katika mazingira