2 Nya. 28:19 SUV

19 Kwa maana BWANA aliinamisha Yuda kwa ajili ya Ahazi mfalme wa Israeli; kwa kuwa yeye aliwafanyia Yuda aibu, na kumwasi BWANA mno.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:19 katika mazingira