2 Nya. 28:27 SUV

27 Ahazi akalala na babaze, wakamzika mjini, yaani, Yerusalemu; maana hawakumleta makaburini mwa wafalme wa Israeli; na Hezekia mwanawe akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:27 katika mazingira