2 Nya. 29:1 SUV

1 Hezekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka ishirini na kenda; na jina la mamaye aliitwa Abiya binti Zekaria.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:1 katika mazingira