2 Nya. 28:6 SUV

6 Kwa kuwa Peka mwana wa Remalia akawaua katika Yuda siku moja watu mia na ishirini elfu, mashujaa wote; kwa sababu walikuwa wamemwacha BWANA, Mungu wa baba zao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:6 katika mazingira